Kibadui

Kibadui ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabadui kwenye kisiwa cha Sunda. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibadui imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibadui iko katika kundi la Kisunda. Wengine wanaiangalia kama lahaja ya Kisunda lakini Wabadui na Wasunda ni tofauti kijamii na kidini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search